MSIMU wa 20 wa michuano ya Kombe la Mapinduzi unatarajiwa kuanza rasmi kesho wakati timu za Kundi A zitakazopokuwa zikikata ...
Uwanja wa Benjamin Mkapa leo unafungua milango kwa pambano la mwisho la ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 (Kariakoo Dabi) ya mzunguko wa pili kati ya Simba na Yanga. Ni mchezo wa namba 184, ...
Simba SC na Yanga SC kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Azam FC na Singida Black Stars kwenye Kombe la Shirikisho Afrika na hivyo kuweka rekodi ya timu zote nne kutinga bkatika hatua ya makundi ...
Baada ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa kwa ajili ya vilabu kufanya usajili ili kuimarisha vikosi vyao, kuuza au kuachana na wachezaji mbalimb... Vilabu kadhaa vya ligi kuu tanzania bara pamoja ...